Mwacheni Gaddafi ana idea nzuri

Naunga mkono hoja kwa 100%,wadhalimu tu na ubinafsi wa kila kizuri kitoke kwao,iraq hadi leo haijatengemaa kwa kumuua sadam wakiamini demokrasia itachukua nafasi,stupid whiteman
 

Well written ila sikubaliani na wewe in some statement. Helmundt kukaa madarakani miaka 18 (or any other president) does not justify Ghadaffi kukaa madarakani for 40 years, huo ni udikteta kabisa, unajua kwa nini nasema hivi? Kama yeye anaipenda sana nchi yake kwa nini asingehakikisha kuna watu watakaotake over his presidency baada ya yeye kustaafu? Si ni kwamba he does not trust his own people ambao anawaimbia kila siku wawe na umoja? He is a psychopath who put his sons and his other relatives kwenye position kubwa serikalini kwake. I watched his speech during UN assembly last year and he was talking like a lunatic. Mabepari hawajapandikiza rushwa miongoni mwetu ni sisi wenyewe tunapenda vya bure, hatutaki kufanya kazi kwa bidii tunasubiri kutumia madaraka yetu vibaya matokeo yake maendeleo hakuna tunasingizia wakoloni. Tangu wakoloni wameondoka nchini kwetu, ni kipi cha maana tumefanya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…