mwache ale bata bwana

sure mkuu coz ni wachache sana wamebahatika kuwa na vyote, imani, pesa + demu wa ukweli asiye kicheche
 
huyu jamaa simsahau jinsi alivyiniingiza king nimkopeshe buku mpaka leo hata sms zangu hajibu!
Nalog off
 
Maisha na bata zake kwa wtz ni njozi tu. Tukazane kulala na sie tuenjoy....
 
Sura ya kuchongwa, matiti ya kubumba, hakuna asilia hapo
 
Raha kweli kweli ila huku kwetu TZ wanaume wengi kufanya hivyo na wake zao ni njozi hata kwenye sherehe wanakwenda wenyewe na kadi imeandikwa bw. na Bi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…