Aku sitaki kesi mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko na jinsia mbili?...u.me na u.ke?(shemale)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shemale ndio nini tena hicho?!
Bado ujaelewaNakuwaje jike dume sasa, me navaa magauni na nguo za kike na sikai na wanaume hata kidogo....
Mmhhhh mbona yeye ana vimanzi vingine???? Embu acha kujipa shidaWeeeee anasense mapema balaa tupo connected spiritually kama siamese twins...... Nikiwa na siri anahisi na atajua namficha jambo!
Kama wewe ulipona na yeye angepona tuuSa ungesoma boarding school zile muda mwingine tunaoga hapo hata watu 20 ungepona kweli?😅
Na mim nipo uko msnsahau!!Sio hapa labda PM
Ha! Hebu tuonyesheWenye vitovu Kama honi za treni tumebaki midomo wazi.
Siwezi fanya hicho kitu..nimejikubali mwenyeweNtakwambia.... Unatamani uende hospital wakufanyie upasuaji wakuwekee kitovu kizuri
Hatari sana mkuu,,,hapa sina udhu ,,,picha zishanitengua udhu...kitovu cha mwanamke ndy ugonjwa wangu.Picha ya kwanza na ya tatu, vitovu vyao na maumbo ya tumbo vinavutia sana..... Wanavitovu amazing.....
Aaaah wapi.... I know my beib.... Mtu akiwa anakucheat utajua tu
Ngoja niombe rukhusa Kwanza.Ha! Hebu tuonyeshe