Mvuto wa Irene Uwoya

Mvuto wa Irene Uwoya

Inamaana katika wale ambao babu slaa ametangaza tusinunue kazi zao na huyu yumooooo??? Agh masikini weeee, pipooooooozzzzz hakuna kushirikiana na yoyote anaepinga maamuzi wa slaa na mbowe

Haaahaaaaa.....Watu mna mahaba na siasa hadi huruma.....uwiiiiii
 
Wengine hapa mnagawa kushinda uwoya tena kwa bei chee...ila mko nyuma ya keyboard ni kuponda tu...u superstar mzigo wa mwiba aseee.....mnachukia tajiri akila nyama?
 
Sasa jamani huyu dada anajitafutia kipato chake kwa njia hii ya sanaa na babu ndo katuasa tusiwaunge mkono, dah inaniwia ngumu kuamini kama hawa chadema wapo kwa maslahi ya watanzania.
 
Irine.JPG
 
Hapo Chacha!!
 
Wengine hapa mnagawa kushinda uwoya tena kwa bei chee...ila mko nyuma ya keyboard ni kuponda tu...u superstar mzigo wa mwiba aseee.....mnachukia tajiri akila nyama?

We acha tuuu......Gere......Gere....They still dont get it....Aliyepewa Amepewa tuuu!
 
amejiharibu kwa kuachia tumbo kubwa baada ya uzazi

Kuna wakati alilipunguza ila naona sasa limeanza kurudi labda kwa sasa nadhani ni Beer...Lakini tumbo sio issue sababu akiamua litaondoka tuu...Mvuto bado upo...
 
Nalizimia hili Toto Mke wa Mtu, lakini kwa kuwa mke wa Mtu sumu, mie nina maziwa hakuna noma aisee.
 
Back
Top Bottom