Mvuto wa Irene Uwoya

Mvuto wa Irene Uwoya

Check t out..hana swaga za iren huyu mtoto yupo hot n anajielewa pia..kama anavaa kijinga kama irene may be tupia picha sijawahi ona...huh

Unakumbuka Fake Smile Ya The Late Kanumba?She was not like this at all.....Lakini ghafla she has the new skin...Make ups zake kama huwa zina 'mlengo' wa kufanana na Uwoya....Kwa maoni yangu if she is Imitating uwoya's swag then hatuwezi kumcompare naye.....I'm her fan too but nimenotice vitu hivi...She is beautiful but she is kinda insecure....
 
Now days stars lazima wawe tofaut lazma ang'ae like star kipind cha fake smile alikuwa bado bado hayup kivulini dats y vile bt mtu akipata pesa kidgo kupata sabun poa, mafuta mazur na car ya kutemblea na kula sahih lazma uwe brght mcheck vizur huko sio kujichubua bali ni kung'aza ngozi..if she did dat it doesnt mean kakop kwa iren kukup swaga mean kuvaa like her,talk lik her kujiachia like her n etc bt she liv her self tangu namjua..may say smthng dat i dnt knw
 
Hongera Uwoya kwa kuzaliwa na sura nzuri na umbo zuri na sifa ziwe kwako,kwa wale wanaoona hana maana kinachoangaliwa hapa ni mvuto si anayofanya maana tukiyajua tunayofanya hakuna aliye salama humu JF,ni nadra sana kuona mwanamke akamsifia mwanamke mwenzake hivyo wanaodis humu kama ni mwanamke ni haki yake na kama ni mwanaume basi ujue ana mwanamke ambaye hana mvuto na inamuuma kuona mtoto wa watu kajaaliwa.
 
Mwanamke sharti apandwe....😆

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Hongera Uwoya kwa kuzaliwa na sura nzuri na umbo zuri na sifa ziwe kwako,kwa wale wanaoona hana maana kinachoangaliwa hapa ni mvuto si anayofanya maana tukiyajua tunayofanya hakuna aliye salama humu JF,ni nadra sana kuona mwanamke akamsifia mwanamke mwenzake hivyo wanaodis humu kama ni mwanamke ni haki yake na kama ni mwanaume basi ujue ana mwanamke ambaye hana mvuto na inamuuma kuona mtoto wa watu kajaaliwa.

Hahah..kak macho yana tofautian unaweza kuta gal mzur watu wanatupa sifa bt wew ukamuona boya..and ukamwelew gal mwingine kabisa
 
she is beautiful....age kitu gani wote watazeeka ila sifa zake apewe. Kupandwa ni matokeo hata wenye sura mbaya hupandwa pia. Watu wamejawa na wivu usio na tija. Hivi ukiwa na mke huruhusiwi kumsifu mtu na uzuri wake au kavaa nguo imempendeza??? HUU NI UVIVU WA KUFIKIRI!
 
KUWA HURU UNAJIKOSESHA HAKI YAKO..... KAMA KUOA AU KUOLEWA NDIO HUKU LOL AHERI KUWA SINGLE!:flypig:
 
Hongera Uwoya kwa kuzaliwa na sura nzuri na umbo zuri na sifa ziwe kwako,kwa wale wanaoona hana maana kinachoangaliwa hapa ni mvuto si anayofanya maana tukiyajua tunayofanya hakuna aliye salama humu JF,ni nadra sana kuona mwanamke akamsifia mwanamke mwenzake hivyo wanaodis humu kama ni mwanamke ni haki yake na kama ni mwanaume basi ujue ana mwanamke ambaye hana mvuto na inamuuma kuona mtoto wa watu kajaaliwa.

Asanteeeee
 
Kila katibu chama cha siasa anaomba viti maalumu visifutwe avutwe
 
women looks nice from far.....................
 
Back
Top Bottom