GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu.

Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma tena Kisutu leo Agosti 13, 2025


Jeshi la Polisi likiwatoa wananchi waliofika wa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Tundu Lissu

Nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wanachadema wakizozana na polisi. Ni kuekelea kusikilizwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu.

 
Hii kesi imeshasetiwa lissu ashindwe kwa namna yoyote ile, ushahidi mlolongo wa figisu kuanzia day 1 hadi leo hii.
Baada ya kushindwa kesi na kuhukumiwa ndio ataibuka chura kiziwi kujidai kutoa msamaha ili apate political milage...by then kampeni zitakuwa zimekaribia kabisaa!
Asichokijua chura kiziwi na washauri wake watz wengi akilini mwao wanajua kbs hii ni kesi ya mchongo, sana sana imezidisha tu chuki dhidi yake!!.

My Take, uchaguzi huu muitikio wa wapiga kura utakuwa chini mnoo, sa100 atakuwa rais kwa kupata kura chache zaidi ukilinganisha na watangulizi wake...hii ni nje ya kuongeza kura bandia!
 
Back
Top Bottom