Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia

😢😢😢😢Saudia imepatwa na nini?
 
Wamalizane wenyewe maana wanasema dini yao ndio mfumo mzima wa maisha yamwanadamu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa basi ni habari ya kutunga,ndo hata picha ikashindikana ya huyo mtoto akiwa katika majeraha hayo?

Sawa basi ni habari ya kweli,basi ndo dini ya huyo jamaa inafundisha hivyo au ni chuki zake binafsi tu?

Sawa basi sasa tunaamini vipi kama hii habari ni ya ukweli au ya uongo?
Mana Sio kila kinachoandikwa ni cha ukweli ama uongo,hiki nacho kwa kuwa kimeshaandikwa hivyo ndo basi tena ni ukweli mkuu au..?

Kwa nini zisiwekwe picha hizo za mtoto kwa kuuthibitishia uuma kwamba ni kweli mtoto huyu apa?

Au ndo yale ya kumuonyesha sadam hussein akinyongwa hadharani alafu osama kimya kimya,jii jii?
 
Reactions: RTI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…