Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia


mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,380
Likes
13,311
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,380 13,311 280
Yaan hapa ndipo nashindwa kuwaelewa hawa waislamu. ......
Hii dini ilitakiwa kuondolewa kabisa duniani. Yaan sijui hata wanaoabudu wanaabudu nini. ...
Maana unyama tu ndio umeijaa
wamarekani na waisrael wote ni WAISLAM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,380
Likes
13,311
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,380 13,311 280
Sasa halafu kwa njia hii unakuja unaniambia hii ni ya ukweli ya upendo,

Nakunambia niifate,to hell never aisee

Inasikitisha sana,ni unyama sana
sio kila matendo ya watu ni MAFUNDISHO YA DINI.
ndo maana leo hii Netanyahu na Donald trump.
mmoja ni myahudi na mwingine ni mkristo.
LAKINI BADO WANAUA.
JE TUHUUKUMU UKRISTO NA UYAHUDI NDO UNAWAFUNDISHA KUUA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
busha

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
231
Likes
190
Points
60
busha

busha

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
231 190 60
kuna watu wananielewa kupitia ww,,,,na ww umesha nielewa mkuu,,
waliotuletea hizi dini wao wala hawana mpango nazo,,
cc waafrika ndo tumezi ng'ang'ania mpaka tunachukiana,,,lerax chif,,vijimambo tu vya dunia,,mwisho wa siku sisi wote tutalala mavumbini,,
Hili LA ushoga wewe binafsi unalionaje?
Mtume kakosea au kapatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

calchooper

Senior Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
143
Likes
99
Points
45
C

calchooper

Senior Member
Joined Dec 27, 2018
143 99 45
kwa sababu kuna muisilamu kaua basi waisilamu woote ni wauwaji na dini yao,,,
kwa sababu kuna padri shoga basi wakristo woote mashoga na dini yao,
maovu ya mtu yabakie kwake na sio kwa watu wote au dini nzima,,,
Kuhusu muuaji Bwana Yesu alituasa kwa kusema "saa Itafika ambapo Kila muuaji atadhani anamtolea Mungu dhabihu" wauaji ikiwa Ni pamoja na vikundi vyote vya kigaidi vinadhani kuwa vinafanya yaliyo sawa machoni PA Mungu ila watafanya maovu.
Sasa basi hao wote mahali pao ni ktk Ziwa LA moto Na kiberiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
busha

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
231
Likes
190
Points
60
busha

busha

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
231 190 60
sasa mbona taifa teule la israeli linaua mpaka watoto

na bado kuna baadhi ya wakristo wanaona ni sawa,
wakati yesu ameshakataza..

kanda ya ziwa wakristo walimuua muislamu kwenye vurugu za kugombania kuchinja,,,,
chuki za kidini ni mbaya sana na hazina nafasi,,,,

wa tz atuna chuki za kidini,,ni watu wachache sana mapunguani wanataka kutuvuruga,,,acha misimamo kijana,,
Kuhusu muuaji Bwana Yesu alituasa kwa kusema "saa Itafika ambapo Kila muuaji atadhani anamtolea Mungu dhabihu" wauaji ikiwa Ni pamoja na vikundi vyote vya kigaidi vinadhani kuwa vinafanya yaliyo sawa machoni PA Mungu ila watafanya maovu.
Sasa basi hao wote mahali pao ni ktk Ziwa LA moto Na kiberiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,700
Likes
636
Points
280
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,700 636 280
Aisee pole sana kwa familia. Ina maana hiki kisa kinaweza kutokea kwa mahujaji wa Kitanzania waKishia watakapoenda huko? Au kipindi cha hija kile huwa watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kubaini dhehebu la mtu mmojammoja ?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
mkuu, hivi saudia ni shia au sunni?
 
kunena

kunena

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Messages
318
Likes
300
Points
80
Age
49
kunena

kunena

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2016
318 300 80
Dah maixlam makatili kweli.....hapo jamaa anaamini anaenda Pepo ya firdausi kula maisha na mabikira 70


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kunena

kunena

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Messages
318
Likes
300
Points
80
Age
49
kunena

kunena

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2016
318 300 80
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
1,517
Likes
1,833
Points
280
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
1,517 1,833 280
Nashangaa sana mnaohusisha hili tukio na masuala ya dini.

Hivi ushetani wa mtu mmoja unaweza kuwafanya mka conclude na kualaumu dini kuwa ndio tatizo?

Ni ushahidi gani mlio nao zaidi ya assumptions tu na mere allegations?

Tusipende kukurupuka ku judge vitu ambavyo hatufahamu chanzo chake. Muombeeni dogo apumzike pema peponi na mama yake apate justice.

Kubandika lawama kwa dini ni kukosa uelewa kwa kiwango cha stiglers gorge.
Hakuna justification yoyote kwenye hili unless umeisoma kama stori au movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
2,850
Likes
2,502
Points
280
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
2,850 2,502 280
sio kila matendo ya watu ni MAFUNDISHO YA DINI.
ndo maana leo hii Netanyahu na Donald trump.
mmoja ni myahudi na mwingine ni mkristo.
LAKINI BADO WANAUA.
JE TUHUUKUMU UKRISTO NA UYAHUDI NDO UNAWAFUNDISHA KUUA?

Sent using Jamii Forums mobile app
So kile kipengepele cha kuipigania dini si kweli??hao kina trump wanatumia dini kuua watu??
 

Forum statistics

Threads 1,262,034
Members 485,449
Posts 30,112,086