Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia

Sipendag mabishano ya dini ndo maana huwa naenda na ushahidi, kwa kuwa ushahidi nishakuwekea umesusoma na umeuelewa na hujaupinga bas kwaheri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Au huyooo apo
FB_IMG_1547041037699.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuqa

Mvulana mwenye miaka sita Zakaria Al Jaber achinjwa na kuchomwa mara kadhaa mwilini mara kadhaa kwa sababu katokea madhehebu ya Shia.

Tukio hilo la aibu na kusikitisha lilitokea Medina ambapo mtoto huyo na mamake walikuwa kwenye teksi wakielekea kuhiji katika madhabahu matakatifu ya Mtume Muhammad.

Walipokaribia kwenye mgahawa ghafla dereva teksi alisimamisha gari na kumburuza dogo kwenye mgahawa. Na kuvunja chupa na kumchinja na baadaye kumchoma kwa Jazba mara kadhaa mwilini huku mamake aliyekuwa anapiga kelele pamoja na polisi aliyekuwa karibu wakijaribu kumzuia.

Serikali inajaribu kudanganya eti jamaa alikuwa chizi ila jamii ya madhehebu ya Shia Saudi Arabia na duniani kwa jumla imekuja juu na kupinga vikali.

Mama wa mtoto anasema Alikuwa akiulizwa mara kwa mara yeye nikutoka madhehebu gani?

Picha ya huyo dogo hapo chini na linki ya habari

Saudi Arabia boy, six, 'beheaded' by taxi driver as screaming mother fought to save him | Daily Mail Online

View attachment 1020010View attachment 1020011
😢😢😢😢Saudia imepatwa na nini?
 
Wamalizane wenyewe maana wanasema dini yao ndio mfumo mzima wa maisha yamwanadamu .

Sawa basi ni habari ya kutunga,ndo hata picha ikashindikana ya huyo mtoto akiwa katika majeraha hayo?

Sawa basi ni habari ya kweli,basi ndo dini ya huyo jamaa inafundisha hivyo au ni chuki zake binafsi tu?

Sawa basi sasa tunaamini vipi kama hii habari ni ya ukweli au ya uongo?
Mana Sio kila kinachoandikwa ni cha ukweli ama uongo,hiki nacho kwa kuwa kimeshaandikwa hivyo ndo basi tena ni ukweli mkuu au..?

Kwa nini zisiwekwe picha hizo za mtoto kwa kuuthibitishia uuma kwamba ni kweli mtoto huyu apa?

Au ndo yale ya kumuonyesha sadam hussein akinyongwa hadharani alafu osama kimya kimya,jii jii?
 
  • Thanks
Reactions: RTI
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom