Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,806
- 59,286
- Thread starter
- #41
Hahahahaha...waambie wasiogope yalikua manyunyu makubwa makubwa tu!!Hizi data za mvua unastua watu !
Kuna jamaa zetu wametoroka Magwepande, wakisikia mambo ya mvua wanazeeka fikra ghafla .
Yeahhh it was pretty nice...sema jioni joto kama kawa!!Mi binafsi naenjoy leo maana jiji lilishanichosha na joto hadi nkapamiss arachuga....I'm now happy
Poleni na nyie....Poleni kwa Mvua, sie tulioko huku Magharibi ya Mbali ni Baridi ya Hatariiii.
Mi mzima wa afya Trachie...vipi wewe?!Lizzy...
Kwanza habari yako.. Za siku? Uko poa? Long time...!
Haya naomba nikuswalike..Umeenda bongoo..au umefuatilia vyombo vya habari juu ya hali ya hewa?
Hehheehehhe yeahhh nilikuja na Fresh ya Shamba kuosha osha macho mjini.