Mvua za DSM

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Hapa DSM usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer baridi. Aisee tusio kuwa na wapenzi, tukumbatie mito tulale.
 
Nimepita tu vijana wangu kushuhudia mnachojadili.

Maana hapa mafinga hali hii ya 12° sasa sijui unavyolalama kama ungekuwa eneo hili.

Hali ya mafingia naijua sana, ***** niliwahi kukaa hapo ..
 
Hapa dsm usiku huu kuna kamvua kanipiga mixer barid,

Aisee tusio kuwa na wapenz, tukumbatie mito tulale.

Yaani kabisa huu nao ni Uzi kwa 'Great Thinkers' Kuufungua, Kuusoma na Kuujadili hapa? Kuna Watu Facebook Kwenu huko Kumewaharibu zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom