Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Hivi sasa hakuna mawasiliano ya barabara kati ya Mombo to Lushoto (maeneo mbele kidogo ya Vuga) baada ya jiwe kubwa kuanguka na kuziba barabara kutokana na mvua kubwa zinazo endelea kunyesha milima ya Usambara,gari zote za kutoka Dar,Arusha,Moshi,Tanga,kuja Lushoto na kutoka Lushoto kushuka Mombo zimekwama.
Kwa hali jinsi ilivyo kwa wilaya ya Lushoto hakuna uwezo wa kulitoa jiwe kutokana na ufinyu wa vitendea kazi.
Hakuna taarifa ya kufa ama kujeruhiwa mpaka hivi sasa ila cha ajabu hakuna askari yeyote eneo la tukio licha ya hali ya usalama kuwa tete kutokana na wingi wa watu katika eneo la tukio.
Source: Mimi mwenyewe nikiwa eneo la tukio.
cc; mohamed Mtoi ,CHAMVIGA ,zumbe Mkuu et.al

Last edited by a moderator: