Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Lushoto kutamu asee... kila kitu kitamu..usafiri upo full. Duhh nije nirudi lushoto nikaule ujana one tym. Seme tu jiwe hilo linatishia usalama
Lushoto kutamu asee... kila kitu kitamu..usafiri upo full. Duhh nije nirudi lushoto nikaule ujana one tym. Seme tu jiwe hilo linatishia usalama
Ukijja unitafute tule wote ujana.
Taarifa zinasemaje leo? Kunapitika?
jamani home kwetu Magamba nitaendaje?
usijali hilo tu? Soon ntakuja pande hzo...! Hii ni OP:.alafu wadada wa lushoto wazurije sasa utadhani walichaguliwa wakapostiwa hapo, nyuso nyororoooo kwa hali ya hewa nzuri. Waoaji nawashauri muende lushoto km unataka m/mke wa kuoaUkijja unitafute tule wote ujana.
Magamba kubwa Madame B...
Picha Mkuu?
mpaka jioni hii kampuni ya strabag wanajitahidi kucholonga ili usiku huu walilipue na baruti.....askari wapo usalama wa abiria na mali zao umeimarishwa,bado magari hayapiti!!!!!!!!
Mkuu bado mvua inanyesha kubwa? nategemea kubwa mazinde juu next friday
Hivi sasa hakuna mawasiliano ya barabara kati ya mombo to lushoto (maeneo kati ya vuga na soni) baada ya jiwe kubwa kuanguka na kuziba barabara kutokana na mvua kubwa zinazo endelea kunyesha milima ya usambara,gari zote za kutoka dar,arusha,moshi,tanga,kuja lushoto na kutoka lushoto kushuka mombo zimekwama.kwa hali jinsi ilivyo kwa wilaya ya lushoto hakuna uwezo wa kulitoa jiwe kutokana na ufinyu wa vitendea kazi.
hakuna taarifa ya kufa ama kujeruhiwa mpaka hivi sasa ila cha ajabu hakuna askari yeyote eneo la tukio licha ya hali ya usalama kuwa tete kutokana na uwingi wa watu katika eneo la tukio.
source mimi mwenyewe nikiwa eneo la tukio.
Mkuu bado mvua zinanyesha? nategemea kuja pande hizo ijumaa[
mkuu hali ni shwali kwani serikali na mamlaka husika zimefanya jitihada na hali imerudi kuwa kama mwanzo shughuli mbalimbali za kibinadamu zinaendelea kama kawaida na mvua zimeacha kunyesha kwa lushoto mjini sasa sijajua wewe unaelekea lushoto maeneo yepi???????
Mkuu bado mvua zinanyesha? nategemea kuja pande hizo ijumaa
Mkuu bado mvua zinanyesha? nategemea kuja pande hizo ijumaa[
mkuu hali ni shwali kwani serikali na mamlaka husika zimefanya jitihada na hali imerudi kuwa kama mwanzo shughuli mbalimbali za kibinadamu zinaendelea kama kawaida na mvua zimeacha kunyesha kwa lushoto mjini sasa sijajua wewe unaelekea lushoto maeneo yepi???????
Ahsante mkuu naelekea mazinde juu