Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
- Thread starter
- #21
Poleni sana wote mlioko safarini kuelekea na kutoka Lushoto lakini maeneo hayo sio mara ya kwanza mawe makubwa kuangukia barabara na usafiri kukwama. Serikali ifanye kama Dumila darajani ili watu waweze kuendelea na safari.😛ray2:😛ray2:
kuna jiwe lingine lina ukubwa wa kama nyumba ya ghorofa moja hivi liko hatarini kuachia muda wowote ule.