Mvua yaleta madhara Lushoto

Mvua yaleta madhara Lushoto

Anelka alipokuwa Madrid alisema mpira wakule unaboa kwa sababu wanacheza very slow, na ni kweli. Mpira wa Spain ukiboa unaboa kikweli kwa sababu hauna mashamsham. Kwa Bundesliga, nadhani hata French league imewapiga bao.

Ooo tate naneee mghoshi ana mbui huyu!
 
Juzi nilipita kwa shida sana, sasa si mngesogea hapo maana likiachia jiwe lingine linaweza kuleta madhara makubwa

Kinacho endelea sasa ni ufaurishaji wa abiria kutoka upande mmoja kwenda mwingine,yani ni hatar kuna jiwe kubwa sana liko loose linaweza kuachia muda wowote,vyombo vya usalama vinahitajika kwa kweli kudhibiti movement za raia.
 
Kwa ukubwa wa lile jiwe naona njia rahisi ni kutumia baruti..kwakua STRABAG wapo karibu hapo chini mombo,waongee nao wawasaidie kulipunguza kidogokidogo kwa baruti.
 
Kwa ukubwa wa lile jiwe naona njia rahisi ni kutumia baruti..kwakua STRABAG wapo karibu hapo chini mombo,waongee nao wawasaidie kulipunguza kidogokidogo kwa baruti.

Absolutely.
 
Ahhhhaaaa...Kwetu pia Lukozi kwenye matunda mengi na mbogamboga..wote wazima mvua haijawazuru..napapenda sana lushoto kila Christmas napenda kwenda home
 
Ila kwa sasa kunapitika,jiwe limesogezwa na barabara inapitika ila tahadhari zichukuliwe kwa sababu ardhi imelege na muda wowote mawe yanaweza yakaanguka.
 
Ahhhhaaaa...Kwetu pia Lukozi kwenye matunda mengi na mbogamboga..wote wazima mvua haijawazuru..napapenda sana lushoto kila Christmas napenda kwenda home

You come from Lukozi. ohhhh you are my inlaw yaani shem. I come with my beutiful wife tto Lukozi to buy cheap carrots. You go there when ? You pm me we go altogether as one group.
 
You knew Lushoto is small europe. very green. much fruit and vegetable. beutiful kind womens. hard working people. climate is pure like europe. I miss the place already.
 
tatenanee.....hangi niita zeze kwa wakwangu haja maluati!!!!!!!!???????..
 
Poleni sana watu wote mnaotoka na mnaoelekea lushoto,tuendelee kuomba ili yasije yakatokea matatizo juu ya matatizo.Zumbe naamifii mbazi nyoshe
 
Ila kwa sasa kunapitika,jiwe limesogezwa na barabara inapitika ila tahadhari zichukuliwe kwa sababu ardhi imelege na muda wowote mawe yanaweza yakaanguka.

Ooops good to hear that....ila ni kweli tutegemee mawe kuanguka zaid kama mvua zita endelea kunyesha...God help us.
 
You knew Lushoto is small europe. very green. much fruit and vegetable. beutiful kind womens. hard working people. climate is pure like europe. I miss the place already.

yaah yaah,the people from europe like to come here to enjoy the goodness of lushoto they see like their home they are many many here.
 
yaah yaah,the people from europe like to come here to enjoy the goodness of lushoto they see like their home they are many many here.

You come yo Irente view hotel one time and see the bungeee. people fly from Irente to Mkomazi just like that. one time in Irente now now at Mkomazi. two minute bungee fly and enjoy. Best hotel Irente view. Lushoto is blessing.
 
Back
Top Bottom