Kaachiwa ChikundiMvua ya mawe imenyesha pia mwanza jana je nako kaachiwa nani?
Wakati ananyimwa dhamana maagizo yalikua yanatoka huko unakojua lkn wakati wa kupewa dhamana hapakua na maagizo yoyote isipokua ni nguvu za kisheria zimetumika. Tena baada ya Mahakama ya rufani kuushangaa Ofisi ya DPP na Mahakama za chini kuudhalilisha tasnia ya sheria kwa kumnyima mtu dhamana iliyowazi...Kwani wakati ananyimwa dhamana maagizo yalikuwa yanatoka kwa nan
Ukame upi mkuu?Lema njoo na huku kwetu mvua inyeshe maana huyu sizonje anasambaza ukame tu
Acha siasa kwenye mambo ya msingi wewe ni miongoni mwa wanao sema Leo kesho wamesahauWakati ananyimwa dhamana maagizo yalikua yanatoka huko unakojua lkn wakati wa kupewa dhamana hapakua na maagizo yoyote isipokua ni nguvu za kisheria zimetumika. Tena baada ya Mahakama ya rufani kuushangaa Ofisi ya DPP na Mahakama za chini kuudhalilisha tasnia ya sheria kwa kumnyima mtu dhamana iliyowazi...
Wewe na wenzio ni upuuzi tu na roho mbaya mlonayo kumshikilia Lema na kumnyima dhamana bila sababu za msingi. Nasisitiza Lema hakutoka kwa maagizo ya mtu yeyote Bali ni matakwa ya kisheria yamezingatiwa....mmeshikwa pabaya...
Kwani mie Bashite wenu? Wildebeest Work....Acha siasa kwenye mambo ya msingi wewe ni miongoni mwa wanao sema Leo kesho wamesahau

Kwa hiyo nyie CCM mnaungama kwa ushenzi mliomfanyia Lema?hiki ni kipindi chs maungamo...aka kwaresma
Hajaleta ila ni ishara ya baraka kwa gblMpaka mvua kaleta lema acheni kukufuru