Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,193
Na hela za michango wanazilaNyie si mmezoea kuleta matetemeko??
Na hela za michango wanazilaNyie si mmezoea kuleta matetemeko??
Wanahatarisha kibarua cha shetani.Na hela za michango wanazila
Ndo majibu au ndo kusema hujaelewa nilicho andikaNyie si mmezoea kuleta matetemeko??
Rudia kusoma post yangu utanielewa.Ndo majibu au ndo kusema hujaelewa nilicho andika
Lkn ndo katokaNajua unaumia sana kwa Lema kutoka.
mbona watanzabia tunaaikitisha hivi......
mh shida sana kuwa mtanzaniaTanzania yangu ndo hii kweli
Nyie si mmezoea kuleta matetemeko??
Haki ikitendeka kwa mtu asie na hatia, mbingu zinafunguka,,Haki alopewa mahakamani leo imesababisha mbingu zifunguke na mvua kunyesha.....Mpaka mvua kaleta lema acheni kukufuru
Haki imetendeka au maagizo yametumika?Haki ikitendeka kwa mtu asie na hatia, mbingu zinafunguka,,Haki alopewa mahakamani leo imesababisha mbingu zifunguke na mvua kunyesha.....
kweli yaaan....mpaka nimeshindwa kuandika vizuri.mvua na lema wapi na wapi mkuu...japokuwa nimefurahi...jamaa amepewa haki yakeUnasikitisha sana.
Mungu hutumia watu wake aliowachagua kuwahabarisha wanadamu yale yaliyo ya Roho wake. Tuwe waangalifu sana kuwaonea waombaji kwa sababu hata katika Mithali 28:16 a "Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana " God knows very well ni nani mtu wake amtumie kuipeleka injili na ujumbe kwa wanadamu. Yona akitumika kuwaokoa watu wa Ninawi kwa nini sisi tunaona mioyoni migumu kuliko hata ule wa Farao?Oooh Bwana Yesu turehemuView attachment 476447
Muda mfupi baada ya Mbunge Wa Arusha Mjini Mh G Lema kuachiwa mvua ya Mawe imelisafisha jiji la Arusha kama inavyoonekana hapo pichani.
Watu walikua wanashangilia kutoka rumande kwa Mbunge huyo aliyekaa ndani takribani miezi minne.
Lema njoo na huku kwetu mvua inyeshe maana huyu sizonje anasambaza ukame tu
Maagizo gani? Kutoka kwa nani?Haki imetendeka au maagizo yametumika?
Wewe unaonaje kwaniameshamaliza kuota???![]()