SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Leo nimezidi kuamini Mungu anajibu maombi.
Kwan baada ya wakazi wa huku kukosa mvua hali iliyopelekea viongozi wa dini kuhamasisha waumini wao kufunga na kuomba kwa Mungu atupe neema hii.
Sasa Mungu amejibu mvua ilianza kwa kushusha mabarafu. Hakika Mungu ashukuriwe Kwani mifugo haitokufa kwa ukame naamini pia mashambani hatutatoka bure