Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,936
Kuanzia leo tarehe 04 july 2016,tumeanza kupokea madawati kutoka kwa wazabuni 11,waliopata kazi ya kutengeneza madawati,na kutakiwa kumaliza ndani ya kipindi cha wiki tatu.
Hivyo manispaa ya kinondoni inarajia kupokea madawati kumi na sita elfu ( 16,000) huku muda waliopewa kutumia kwa utengenezaji ukiwa umekaribia kuisha.
Magari mbalimbali tangia asubuhi ya leo yamekuwa yakipishana ofisi za halmashauri kukabidhi mzigo wa madawati ya shule za msingi na sekondari.
Source; Lord Mayor Boniface Jacob
CC Mkaruka okonkwo jr