Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Jamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasa hivi imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari