masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,514
- 19,860
- Thread starter
- #81
Mhhhhhhh baridi au una lako
hahahhaha langu lipi mkuu umekuwa mtabiri siku hizi
Mhhhhhhh baridi au una lako
hapana ni kuwajibika tu!kwa sababu kama ni kitanda hata kwao amekiacha!kwangu amefuata hicho tu!!uwwwiiiii unawania nini kuingizwa kwenye world record book??
Ni wapi huko kwenye baridi nije nilale gesti za huko. Huku Magomeni joto linatufanya vibaya
hapana ni kuwajibika tu!kwa sababu kama ni kitanda hata kwao amekiacha!kwangu amefuata hicho tu!!
leo hamna party ya staffs?? hata ya rafiki uendi ama usiku?
Hapa staff ni mimi peke angu, party sina labda nikawasalimu wazazi home
mr english uje ulale guest house kisaaa???
jenga nyumba yako weka A.C nucta
At ppresently I am not have many money and wife is near give birth it is now five child. you understand my predicament.
At ppresently I am not have many money and wife is near give birth it is now five child. you understand my predicament.
Ni wapi huko kwenye baridi nije nilale gesti za huko. Huku Magomeni joto linatufanya vibaya
hahahhaha langu lipi mkuu umekuwa mtabiri siku hizi
Huku Pugu ilinyeesha karibu kunakucha. Lakini ni ya wastani.
Maana umeshaanza oooh naona baridi na saivi utasema ooh naogopa peke yangu
ni wapi panaonesha kuwa sijaoa!!nimeoa na mke kwao aliacha kitanda kwa hiyo kwangu ni kazi moja tu!mmh kwani ujaoa??alafu unashiriki zinaa?? unatakiwa upigwe mawe hadi ufe kwa sheria za allah
unajifunika na nini!!siogopi mimi kwani mimi under 12 hahahhaha nafunga mlango najifunija na shoka gubigubi
unajifunika na nini!!
unajifunika na nini!!
You ask many question which Masai dada I am not know. she tell you I cover myself gubigubi with bed sheet. you ask. you cover himself with what ? it not good to ask many question.