Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

Nasikia Kiluvya ni mbele kidogo ya Kibwegere

Kiluvya imepakana na mail moja kibaha kwa lugha nzuri hili eneo la kati kati ya kibamba na mizani ya kibaha ndio kiluvya, kiluvya imejigawa katika sehemu mbili ambazo zimetenganishwa na barabara ya morogoro ambapo upande mmoja ni wilaya ya kinondoni ambako wanaita kiluvya kwa kawawa na upande mwingine ni wilaya ya kisarawe ambako wanaita kiluvya kwa sumaye, kwa hiyo kiluvya ni kati ya mkoa wa Pwani na Dar.
 
Kuna mtu ofisini kwangu nahisi ni wewe au masai girl. mtundu mtundu na haruhusu hata siku moja uone screen yake ya desktop. anaficha nini ? halafu kuna wakati anacheka peke yake mpaka anatoka machozi. Nitakufumania tu come next wk.

hahahhahha kati yako wewe na Asprin nawaundia tume
 
Hahahahah not me. Huyo lazima atakuwa masai dada. Mie ni bonge la dume, mkulima wa matikiti maji maeneo ya Kerege.

Haya hebu nipe wasifu wa huyo masai dada wa ofisini kwenu. Anafaa kwa matumizi ya kibaiolojia?

hahhahahha
nitakusemea kwa miss nedy
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah not me. Huyo lazima atakuwa masai dada. Mie ni bonge la dume, mkulima wa matikiti maji maeneo ya Kerege.

Haya hebu nipe wasifu wa huyo masai dada wa ofisini kwenu. Anafaa kwa matumizi ya kibaiolojia?

Anafaa sana hasa kwenda nae Bwax weekend ila she is very expensive. Most expensive beutiful masai dada. One day a guy say to her. I want to take you out. she say it fine but huy me cloths from shoes to knickers sso that you not enjoy the dress nother man buy for me. the guy say. i am not afford. he go to cheap woman of Sinza or Kijitonyama
 
hhahahahaah

when did you learn to do bizness like this??

you know its mid man who have the skills its the women who is in between and then you go and describe her to the buyer man
 
Today I went to my village near Kongowe. ohhhh the rain. you not believe. it very much. the maize is not grow but the cassava grow tu tu tu faster.
 
wow i like very much cassava but with kachumbari and also during rain ooh they take too much water and become cherema not with powder when you eat
 
Anafaa sana hasa kwenda nae Bwax weekend ila she is very expensive. Most expensive beutiful masai dada. One day a guy say to her. I want to take you out. she say it fine but huy me cloths from shoes to knickers sso that you not enjoy the dress nother man buy for me. the guy say. i am not afford. he go to cheap woman of Sinza or Kijitonyama

hhahahahaah

when did you learn to do bizness like this??

you know its mid man who have the skills its the women who is in between and then you go and describe her to the buyer man

:A S 13::A S 13::A S 13:😛hoto:😛hoto:
 
Back
Top Bottom