Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

utazimia kisa nini??
so far saa hizi unaacha kupata mng glory unacheza na keybodi kulikoni??

yaani huyu babu ana miliki nusu ya wanawake hapa ila kinguvu

lakini hangati maini yashazeeka
 
mmh!!!!!!!!!!
hili sasa mie simo haya weee Asprin njoo huku uyaskie naskia siku hizi eti kisu chako hakikati na wala jembe lako halina mpini
 
Last edited by a moderator:

hahhahahah unazani angekuwepo kwenye kibodi muda huu??

hiyo ni evidence ya kwanza
 
Last edited by a moderator:
Hizi mvua hizi mmh!zitasababisha idadi ya watz iongezeke kwa kasi ya ajabu mno mayoo weee
 
mmh!!!!!!!!!!
hili sasa mie simo haya weee Asprin njoo huku uyaskie naskia siku hizi eti kisu chako hakikati na wala jembe lako halina mpini

Nisaidie kumuuliza, kama sina meno mbona ananiogopa?
 
Last edited by a moderator:
Here the rain mwa. mwa mwa mwa too many. the temperature is small. the wife come near closer. the day it saturday no job. it what we want.

the rain is still mwa mwa,iam sleeping now i dont get out because iam afraid my chest is koh koh koh.
 
Here the rain mwa. mwa mwa mwa too many. the temperature is small. the wife come near closer. the day it saturday no job. it what we want.

Hahahahaha, hongera mkuu kwa kiswanglish.
 
Acha inyeshe niendelee kutengeneza watoto mie
 
Here the rain mwa. mwa mwa mwa too many. the temperature is small. the wife come near closer. the day it saturday no job. it what we want.

in here is too temperature no rain is raining im outside dream the heat.
 
Angalia usije ukawa workmate wangu. Ntazimia.

Kuna mtu ofisini kwangu nahisi ni wewe au masai girl. mtundu mtundu na haruhusu hata siku moja uone screen yake ya desktop. anaficha nini ? halafu kuna wakati anacheka peke yake mpaka anatoka machozi. Nitakufumania tu come next wk.
 
Hahahahah not me. Huyo lazima atakuwa masai dada. Mie ni bonge la dume, mkulima wa matikiti maji maeneo ya Kerege.

Haya hebu nipe wasifu wa huyo masai dada wa ofisini kwenu. Anafaa kwa matumizi ya kibaiolojia?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom