Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

Ha ha ha ha ha ni kweli mkuu watu wa dar ikinyunya kidogo tu wao roho juu kha.

maana uwezi kutoka hata nje mkuu naona kunafunga tena mawingu,,kwa mfano ukitoka lazima kuna vidaraja utapita,unakumbuka ile picha ya daraja la tabata??????

ndo utoke ukutane na kile kisanga utaakesha hadi maji ya kauke maana daladala hazipiti wala lori labla usubiri chopa
 
TO DO YOU DO YOU TO SAY YOU SAY ME! YOU HOW? Kufanya ufanye wewe! Kusema useme mimi! wewe vipi?
 
Rain is stop and now sun is come. It is not longer to sleep in bed now because temperature is go up. We need more rain really. Oh I now wake up and go out to bathroom and beat toothbrush my teeth.
ha ha ha,this is vewy intewesting bwothew.
 
Jamani kwa mvua inayoendelea muda huu nadhani ni kubwa kuliko na sina uhakika kama mamlaka ya hali ya hewa ilitoa tahadhari kwani ni kubwa sana.

Inanyesha kwa nguvu tangu saa 8 hapa ni maeneo ya Temeke.

Wengine mlioko maeneo mengine tupeni update.
du saa 8 usiku huu uko unaandika andika tu humu!kwani huwa mnafanya saa ngapi!!
 
Hahahaaa kaaz kwelikweli. Hiv kwa nn watu hawapendi kuongea kiswahili chao

mimi kazi yangu hainiruhusu kuongea kiswahili((usiulize ipi)) ila huwa nakimisi sana muda nikiongea ki inglish kwanye kazi

UNAJUA KIINGLISH KINAKONDESHA?
 
du saa 8 usiku huu uko unaandika andika tu humu!kwani huwa mnafanya saa ngapi!!

mr wangu yupo mbali,bara la asia kabisa hata sio africa hahhhhahaha kwani usiku mzima huwaga mnafanya eeh??nilikuwa sijui mnawania tunzo nini??
 
Here it not very big but the temperature is very good. not hhot. Today is no job and the climate is good. God is give you what ??[/QUOTE]

Haahahahahahahaa🙂 GOD is give you full sack of lice🙂
 
mr wangu yupo mbali,bara la asia kabisa hata sio africa hahhhhahaha kwani usiku mzima huwaga mnafanya eeh??nilikuwa sijui mnawania tunzo nini??
mimi ni kama zile extreem za simu 4 hadi 12!nikipanda 4 kushuka ni 12 asubuhi
 
Here it not very big but the temperature is very good. not hhot. Today is no job and the climate is good. God is give you what ??
mkuu vidole havijapata ajali kweli hapa,hahahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom