Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

Mvua kubwa yaendelea kunyesha Dar usiku huu

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,489
Reaction score
19,778
Jamani kwa mvua inayoendelea muda huu nadhani ni kubwa kuliko na sina uhakika kama mamlaka ya hali ya hewa ilitoa tahadhari kwani ni kubwa sana.

Inanyesha kwa nguvu tangu saa 8 hapa ni maeneo ya Temeke.

Wengine mlioko maeneo mengine tupeni update.
 
Kariakoo ni rasha rasha tu sio kubwa. Na imeanza saa kumi ivi. Ndooogo
 
dah huku ni nzito yaani maji yanatirika tu inapumzika kidogo inarudi tena
 
jamani kwa mvua
inayoendelea muda huu nadhani ni kubwa kuliko na sina uhakika kama
mamlaka ya hali ya hewa ilitoa tahadhari kwani ni kubwa sana

inanyesha kwa nguvu tangu saa 8 hapa ni maeneo ya temeke

wengine mlioko maeneo mengine tupeni update

Jiandaeni na mafuriko kesho huko kwenu. Poleni sana wanangu.
 
Hapa nilipo ya kawaida tu maeneo ya kiluvya.
 
Here it not very big but the temperature is very good. not hhot. Today is no job and the climate is good. God is give you what ??
 
hapa kisarawe haikotofautiana na ya kiluvya kwa Katavi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom