huwa sielewi...connection ya mvua na foleni dar!
huku kwetu kuna kimbunga kutoka kwenye jua.....aaaghhh.....kinawasha......
mkuu kuna njia za vichochoro huwa tunapita kuepuka foleni, sasa pale mvua inaponyesha mtu unalazimika kupita barabarani ili kuepuka kukwama vichochoroni, hence foleni inaongezeka..
Kwa mfano, watu wa kimara na mbezi kuepuka foleni ya ubungo kuna shortcut ambayo unatokezea UD, sasa mvua ikinyesha na ukapima uwezo wa gari yako unaamua kubaki main road..
.vip kuhusu barabara zetu!?
Preta bana kimbunga toka kwenye jua ndiyo nini sasa? Au ndiyo jua kali?
vip kuhusu barabara zetu!?
hakijafika kwenu....ha!....wenzio tumekuwa wa njano....kilikuja juzi huku kwetu.....ukiniona niko yellowyellow.....
hakijafika kwenu....ha!....wenzio tumekuwa wa njano....kilikuja juzi huku kwetu.....ukiniona niko yellowyellow.....
Nipo Arusha Arusha itabidi nifanye himahima nikuonye ulivyo yellow yellow kabla sijarejea Mbeya. Pole sana.
Duuuuhhhh..!!
sasa tukupe Pole au Hongera?
kama ungeniona....ungeniambia nini....jasti in kesi......