Mvua inakunya au inanyesha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua inakunya au inanyesha?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by simplemind, May 18, 2012.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Wakazi wa Zanzibar,Mombasa Tanga wanasema mvua inakunya. Bara wanasema inanyesha. Yupi sahihi?
   
 2. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Bw. Simplemind ninajitosa kujadili hoja uliyoileta jamvini. Kwa ueledi (soma weledi) wangu mi ninaona asemaye 'mvua imenyesha' na yule asemaye 'mvua imekunya' wote wako sahihi ila tu wametumia kauli tofauti katika kitenzi cha tungo hiyo. Ukijadili mofolojia ya neno 'kunyesha' na 'kunya' yote yana asili ya mzizi mmoja yaani -ny-. Ni kutokana na mzizi huo mnyambuliko unatuletea maneno mzo mzo kutegemea maana ya msemaji. Tazama mifano hapa chini:
  Kauli Neno nyambuo
  Kutenda Ku-ny-a
  Kutendea Ku-ny-e-a
  Kuntendwa Ku-ny-ew-a
  Kutendesha Ku-ny-e-sh-a
  Kutendeshea Ku-ny-e-sh-e-a
  Lakini matumizi ya kimuktadha tunasema kwamba pale ambapo mtu anasema 'mvua imemnyea' inamaanisha kuwa mvua iliyomtendea ilikuwa kubwa sana na pasipo shaka anakuwa ametota si haba.

  Nawasilisha!!!
   
 3. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #3
  May 18, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu Omonto wa-hene, asante sana kwa mchango wako juu ya hili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Leo nimepita tu!
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana kwa maelezo yako fasaha.
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapa kwa kweli ni me gain kidogo!
   
Loading...