Ndio matatizo ya kuajiriwa au kazi za nenda rudi kama halawa,ningekuwa na kajibz kangu ngekuwa nipo ndani ya shuka lkn kazi za wahindi unaweza ukalamba BAN.
mbagala hakuja wahi kuwa pazuri tangu ukoloni
Poleni kwa mvua sie huku kwetu jua kwa kwenda mbele
Nahis ndo michepuko dei leo,kisa folen ya mvuaLeo ndoa za Dar zitaimarishwa sana. Mtu akitoka kazini direct kwa mamsap home. tv kwa wingi akisubiria wtt walale
Sasa kama MJINI KUKO HIVI,HUKO USWAHILINI KUTAKUWAJE?Jamaa kastuka mwenyewe ana reverse kurudi kulala. Shuka kitu kibaya sana!![]()
Tatizo ilizinduliwa wakat wa jua,na aliyeizindua haitumiihatimaye nimefika ofisini..ila tepe tepe...ile stand ya mbezi mwisho sijaelewa wamejengaje....maana daah..ata ukisimama kwa ndan mule vua bado kunyeshea
mbagala hakuja wahi kuwa pazuri tangu ukoloni
Hapa niko kwenye mtumbwi naenda job.
wacha inyeshe tuheshimiane....