Sasa kama MJINI KUKO HIVI,HUKO USWAHILINI KUTAKUWAJE?
uswahilini kuko poa tu. hakuna shida yoyote. tatizo watu wa mjini ni wachafu sana
Sasa kama MJINI KUKO HIVI,HUKO USWAHILINI KUTAKUWAJE?
mbagala ni majanga tu, toka mvua zianze jana usiku na umeme ukakatika mpaka leo haujarejea!
bora yako wewe muuza duka la vyombo maana sisi waajiriwa tunakazi..
Tatizo ilizinduliwa wakat wa jua,na aliyeizindua haitumii