Mvua imenikoseshea Demu..

Mvua imenikoseshea Demu..

Zero7

Member
Joined
May 27, 2012
Posts
36
Reaction score
1
Najua siku kama hii waliowengi watapendezewa sana na hii hali ila kwangu ni maumivu..
Jana tulipanga kuonana kweli akaja...kumbe akapitia sokoni akafungasha nyanya,vitu vitu kibao kufika et ooh si unaona niliagiziwa mboga za jion kwahyo nawahi kupeleka...ntakuja kesho..
nikasema sawa mama

Wakati najua kabisa kwa mda ambao yeye anatoka kazini hawezi kuagizwa vtu kama hvyo ile hali dada wa nyumban yupo

Sasa leo...nkaona hata aibu kwambia apitie najua ntaambiwa...kwan mvua huioni? ...ila nikapuuzia hayo mawazo nikampigia nikapewa jibu hilo hilo..
Ila bora nilivyomkosa jana kuliko leo kwan hapa nilipo nko full mnara+
 
Najua siku kama hii waliowengi watapendezewa sana na hii hali ila kwangu ni maumivu..
Jana tulipanga kuonana kweli akaja...kumbe akapitia sokoni akafungasha nyanya,vitu vitu kibao kufika et ooh si unaona niliagiziwa mboga za jion kwahyo nawahi kupeleka...ntakuja kesho..
nikasema sawa mama

Wakati najua kabisa kwa mda ambao yeye anatoka kazini hawezi kuagizwa vtu kama hvyo ile hali dada wa nyumban yupo

Sasa leo...nkaona hata aibu kwambia apitie najua ntaambiwa...kwan mvua huioni? ...ila nikapuuzia hayo mawazo nikampigia nikapewa jibu hilo hilo..
Ila bora ningemkosa jana kuliko leo kwan hapa nilipo nko full mnara+

Unafaa kuwa waziri wa wanawake!
 
Uefa champions league,semi final draw
chelsea vs atletico madrid.
B.munich vs r.madrid.

Which team do you think can win the title?
 
Yaya Toure anaweza kuweka kuni mbichi jikoni then akazitemea mate na moto ukatokea.
 
1397236313121.jpg
 
Kosa la mleta mada ni lipi mbona mnamzingua kama yule wa jana?Eh pole zake.
 
Angalia usiwabake kuku wa majirani, waza vitu vingine vitakusaidia sana
 
Search Results
Jukwaa la Siasa > Tuweke ushabiki
pembeni, CCM ina mgombea gani
anayekubalika zaidi ya Lowassa?
(245) ( ... Last Page)
Mgirik: Today 17:27
Tech, Gadgets & Science Forum >
Wadau ipi kali kati ya Sony xperia
ultra na Galax note 3. (3)
Ilisolokobwe: Today 17:26
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Picha kutumwa kila wakati (30) ( )
MstahikiMeya: Today 17:26
Habari na Hoja mchanganyiko >
Tukio la ujambazi Kinondoni
Morocco, Majambazi wapora fuko
la pesa (68) ( )
impala: Today 17:26
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Wapigao kelele wakikaribia
kufika kileleni (185)
( ... Last Page)
Mount Kibo: Today 17:26
Habari na Hoja mchanganyiko >
Masikini Vengu wa Original
Comedy (21) ( )
Sendoro Mbazi: Today 17:26
Jukwaa la Siasa > Rais Obama,
Kikwete na Zuma Kufiwa... (9)
photo mee: Today 17:26
Nafasi za Kazi na Tenda > Kuitwa
kazini-pccb (5)
Mapovu: Today 17:26
Jamii Intelligence > Mfano wa
Uumbwaji wa BINADAM na
SHETANI (227) ( ... Last Page)
Nkwesa Makambo: Today 17:26
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Mvua imenikoseshea Demu.. (17)
Zero7: Today 17:26
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Ndugu yangu anasema katembea
na mpenzi wangu, nitaujuaje
ukweli? (75) ( )
masai dada: Today 17:25
Jukwaa la Siasa > Rais Kikwete
kuzindua mradi wa maji Karatu
kesho tarehe 12 Aprili, 2014 (35)
( )
abakorakamo: Today 17:25
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Kwanini mama wake huangalia
kucha? (27) ( )
pashu: Today 17:25
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Vyakula vinavyoongeza nguvu za
kiume (61) ( )
makudupa: Today 17:25
Mahusiano, mapenzi, urafiki > Kwa
Tabia hii nimemchoka mke wangu
(38) ( )
FaizaFoxy: Today 17:25
Habari na Hoja mchanganyiko >
Maafa kilosa (7)
mrangi: Today 17:25
Mahusiano, mapenzi, urafiki > PS
wangu ananitega (80) ( )
Kongosho: Today 17:25
JF Doctor > Msaada wenu ndo
mafanikio yangu (8)
chakii: Today 17:24
Habari na Hoja mchanganyiko >
UPDATES: Hali ya hewa jijini Dar
es Salaam (40) ( )
Paul S.S: Today 17:24
Mahusiano, mapenzi, urafiki > Fact
about sex, do you believe? (17)
kichunafk: Today 17:24
Mahusiano, mapenzi, urafiki >
Kuna wasioweza kugegedana hadi
waangalie picha za x (28) ( )
Mashimba1: Today 17:23
Habari na Hoja mchanganyiko >
Hifadhi ya taifa ya selous iko
mkoa/wilaya gani? (0)
M2mwembamba: Today 17:23
Nafasi za Kazi na Tenda > Prayer
for employment (1)
Andrew Ngomale: Today 17:23
Jukwaa la Siasa > Mbatia umetisha
(17)
Nkaka: Today 17:23
Habari na Hoja mchanganyiko > TB
Joshua: UTABIRI WAKE WATIMIA:
NIGERIA KUWA #1 KIUCHUMI (3)
pashu: Today 17:23
Jukwaa la Elimu (Education Forum)
> UDOM-COED! Kilio ni maji maji
maji (22) ( )
tisa desemba: Today 17:23
Matangazo madogo > unplanned
area to planned one... (0)
pR0T0z0A: Today 17:23
Habari na Hoja mchanganyiko >
Mkasa mkubwa! Mungu
kumwongelesha mtu ili mradi
afanye dhambi hii mbaya. (2)
mzenjiboy: Today 17:22
Habari na Hoja mchanganyiko >
Angalia picha za simba
aliyejeruhiwa vibaya na mbogo,
(51) ( )
lusban: Today 17:22
Habari na Hoja mchanganyiko >
Msaada: Agency za wafanyakazi
wa majumbani (11)
bunited: Today 17:22
1
Mark Forums Read
Copyright JamiiForums.com
 
Back
Top Bottom