Mods thread zingine ziwe zinaondolewa tu
Jamani si lazima upende kila thread humu ndani ,tuna viwango tofauti vya uelewa na tuna maisha tofauti !ukiona mada haikufai pita kimyakimya ....!!!
rudi usome kama nimejibiwa unavyofikiri, Mimi nilikupa ushauri nasaha wa bure baada ya kuona thread yako imepinduliwa, sikutaka kukuacha yatima huku kwenye jukwaaNa wewe lile jibu lako la kucha umelipata....au unalipiza ulivyojibiwa vibaya