Hizi thread za milengo ya kidini ziacheni...Mungu hana diniWajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
maeneo gani mbona nchi nzima ni moto mtupu, 38 celcius temp!Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.Ndio Mkuu, Mungu amejibu maombi yao...asieamini uwepo wa Mungu atakupinga
Kwamba kalahari ianze ktandika kisawasawa kwa maombi😂😂😂How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.
Unadhani wale waarab wa middle east hawapendi mvua???.... au unadhani ndugu zetu wa misitu ya Congo wanamuomba Mungu sana????.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua huwa zinaanza kunyesha kawaida tu, mliambiwa kimbunga cha malawi, zimbambwe na msumbuji kiliomba mvua mvua hivyo zitachelewa au kunyesha kidogo. Jiografia ndogo hiiWajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.
Unadhani wale waarab wa middle east hawapendi mvua???.... au unadhani ndugu zetu wa misitu ya Congo wanamuomba Mungu sana????.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mvua ikinyesha dar mnahisi nchi nzima ilikua kame? Mbeya kulikua na mafuriko tele,kanda ya ziwa mvua za kutosha.
Kwa akili za mtoa mada ni sahihi kwa manabii kuibuka na kujizolea pesa za kutosha
Katika eneo letu ni kuwa mvua huanza kunyesha jua likiwa maeneo ya equator, ni juzi 21/3 jua lilikuwa katika mstari wa equator, hali hii husababisha joto kubwa linalosababisha low pressure katika eneo hili, hii husababisha cold and wet winds kuvuma kuelekea maeneo ya equator na ndio pepo hizi husababisha mvua.Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ni msimu wa mvua lakini imekaa sana haikunyesha .Huu ni msimu wa mvua, kwa hiyo walikuwa wanaomba huku wakijua ni.msimu wa mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app