Mvomero, Morogoro: Waziri Bashungwa abaini upotevu wa shilingi milioni 231 ujenzi wa miundombinu Sekondari ya Kumbukumbu ya Sokoine

Mbowe mwenyewe alikuta rushwa,akamuzia nafasi ya kugombea urais Lowassa, katika kizazi hiki cha kisasa usipo kuwa mla rushwa unaonekana lofa, chadema na ccm tofauti yao nikuwa moja ni mtawala mwingine ni mpiga debe ili nae mdomo uende kinywani.
 
Mfumo unaruhusu upigaji utakuta wanaulizana Na mimi mgao wangu uko wapi?
Nchi pekee waizi wanaiba hela na wanafukuzwa tu
Hakuna kufungana kabisa siku mtawafunga watu miaka 30 kwa wizi basi wengine watashika adabu

Wacha wale ndio maisha mliokubaliana nao so what ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…