Mv mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mv mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mary Chuwa, Mar 24, 2011.

 1. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi habari zenu,kwa kweli huu wimbo niliupenda toka nikiwa mdogo,na nimekuwa nikiuimba kwa kukosea kosea ila ujumbe wake kwa kweli ni funzo. kama kuna mwenye kuufahamu woote naomba anipatie

  MV mapenzi,
  Meli ya wapendanao,
  Moyo kama Bahari,
  Manahodha mimi na wewe,


  Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
  Kuna papa ,nyangumi tena wale wa hatari
  Hawapendi kuiona meli yetu baharini
  Watafanya kila njia waifupishe safari


  Tafadhali naomba msaada wa wimbo huo
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanakuja!!! subiri tu utawaona!!
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Jaribu kuserch kutumia google
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Enzi zileeeeee tunatoka shule saa nane kuwahi ugali na maharage home, njiani utasikia viredio vya watu. nyimbo za zamani zilikuwa nzuri sana. subiri wazee wa you tube wakuwekee link
   
 5. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wakati huo tushashindilia mihogo ya mama salama tunakatiza mabwawa saba huku tukiogopa miraji atatokea lol nimekumbuka mbali sana
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Raha ya miziki hii ya zamani kila mtu alikuwa amekariri basi si kuimba huko mpaka sasa imekaa kichwan
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mi nishakuja ila hata siujui. Lol!
   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  We acha tu naukumbuka japo nilikuwa mdogo sana nimeimbiwa na mtu,imebidi nimtumie mtu kaniimbia kwenye simu lol
   
Loading...