Nimeangalia mambo yanayoendelea katika siasa nikakakumbuka kale kasongi ka mv mapenzi....
Nahodha kajitupa baharini.....
maswali: -
1. Je, meli ilizama? kama haikuzama mchango wa nahodha ulikuwa upi melini?
2. Je, ni nini kilimtokea nahodha?
Alafu nakumbuka wakati anajitosa huku nchi kazu kuna chatu anasubiri...ni hatareeeeeee
Last edited by a moderator: