yaani nnchi hii aacha tu, napiga simu pale kitengo cha maafa kutoa taarifa hizi zaidi ya nusu saa simu hazipokelewi, napiga Wizara ya miundo mbinu hapa mwanza na ofisi za ujenzi wanadai wanashughulikia swala hilo, ngoja niende kule bandarini nijue japo juhudi gani zinachukuliwa kuokoa hili janga lilikua jirani nasi.Lets hope kuna process zinaendelea, kwa ajili ya kuwaokoa watu hao.
yaani nnchi hii aacha tu, napiga simu pale kitengo cha maafa kutoa taarifa hizi zaidi ya nusu saa simu hazipokelewi, napiga Wizara ya miundo mbinu hapa mwanza na ofisi za ujenzi wanadai wanashughulikia swala hilo, ngoja niende kule bandarini nijue japo juhudi gani zinachukuliwa kuokoa hili janga lilikua jirani nasi.
rekebisha kauli yako hiyo (bolded)Watanzania tuko wajinga sana. Hapo watu wanasubiri baada ya matatizo waanze kutoa ripoti ya maafa na wengine kutubeza kuwa hawatajiuzulu ng'o kama alivyotuambia Kusila baada ya MV Bukoba.
Kwa wale mlio karibu jaribuni hata kuomba msaada kwa watu binafsi. Pia ikiwezekana jaribu kupiga simu kwenye redio na TV ambazo zinaweza kurusha hiyo habari mara moja. Wakubwa wa bongo wanaogopa media kuliko jehanamu! Watafukuzana kama swala waliongiliwa na Simba. Plse try to help.
Hakuna bold popote!rekebisha kauli yako hiyo (bolded)
Uzembe kila kona nchi hii..
hapo mpaka watu wapoteze maisha(Mungu pishia mbali) ndo uone mijitu inatikisika sasa...malabuku!!!