Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,913
- 4,329
Mlionusurika na Titac mukuje huku
Ni kweli mkuu wengi wanakuja kama watalii kumbe ni misheni tauni afu wanasepa....hawa wetu ni full kutuonea akina sisi vidagaa.Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Dogo unakasumba Sana halafu sisi humu watu wazima acha tabia ya chuki kwa watu wenye itikadi au iman tofaut na yake....Ni hayo tuHiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Unavuta bange bro?Dogo unakasumba Sana halafu sisi humu watu wazima acha tabia ya chuki kwa watu wenye itikadi au iman tofaut na yake....Ni hayo tu
Hii habari nishaisoma nadhani jukwa la historia ilichambuliwa vyemaHakuna chai hapo kafatilie kila kitu kipo wazi kafatilie habari za Abu ubaidah utajua alifia kwenye ajali gan
View attachment 2233057
Nilikua form two,amkia chapuHaya niamkie kabisa mwaka 1996 nilikuwa darasa la 7
Oh!mr Rukyaa!daaaa ilizama 1996 mi nikazaliwa 1998
Haya niamkie kabisa mwaka 1996 nilikuwa darasa la 7
Hii habari inafikirisha, hivi US hakuwa na mkono wake kweli!?Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
1996 Nina miaka 40 ilikuwa huzuni sana
Hapa napata mashaka na namna ajali ilivyotokea, mbona kama kuna...au basiHakuna chai hapo kafatilie kila kitu kipo wazi kafatilie habari za Abu ubaidah utajua alifia kwenye ajali gan
View attachment 2233057
Una matatizo kichwani wewe.Dogo unakasumba Sana halafu sisi humu watu wazima acha tabia ya chuki kwa watu wenye itikadi au iman tofaut na yake....Ni hayo tu
Mie ndio nilikuwa nimemaliza darasa la 14 zamani tuliita hivyo nyie tunawasikia siku hizi mkisema Advance aka Form 6........niamkie fasterHaya niamkie kabisa mwaka 1996 nilikuwa darasa la 7
la ngapi ulikua?? HahahaNilikuwa la kwanza, nilikuwa sipendi shule balaa.
Tatizo unakalia unazi wa Simba na Chadema. Mbona hiyo ndiyo sababu kuu ya kuzamishwa. Kweli unalingana na mtoto wangu wa kwanzaKusoma kwangu kote habari za MV Bukoba sijawahi kujua hili