MV Bukoba ilipozama nilikuwa mdogo, nilihuzunika sana

Aliyeshauri meli itobolewe sijui hakusoma physics. Isingetobolewa wengi wangeokolewa. Ilikuwa ivutwe hadi kina kifupi ndipo itobolewe sawa, Ili watu watoke.
 
Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Ni kweli mkuu wengi wanakuja kama watalii kumbe ni misheni tauni afu wanasepa....hawa wetu ni full kutuonea akina sisi vidagaa.
 
Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia

Adel Habib muuza magari wa Nairobi, hahahahaha umenikumbusha Ayman Al-Zawahir

Kuna wakati hauwezi kujihangaisha na mtu ambaye unajua kwa wakati husika hana madhara na wewe na uwepo wake pia ndio usalama wako.

Sio kila kilicho ndani ya taasisi lazima raia ujue, sio kwa sababu alikuwa huru basi ndio alikuwa hajulikani......tuendelee kulala tu mkuu, kuna watu wana kazi zao...hahahahaha
 
Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Dogo unakasumba Sana halafu sisi humu watu wazima acha tabia ya chuki kwa watu wenye itikadi au iman tofaut na yake....Ni hayo tu
 
Hiyo ajali iliondoka rafiki wa Osama bin Laden ambae alikua kiongozi mkubwa wa Al-qaeda kanda hii ya Africa mashariki Abu ubaidah al-Banshir
Tz Hadi leo wanakaa watu hatari bila mamlaka kujua Ila wanajidai wataam wa intelijensia
Hii habari inafikirisha, hivi US hakuwa na mkono wake kweli!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom