Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
Nadhani nilipaswa kutoa precaution kwamba wanaopaswa kuchangia ni wale wanaojua umuhimu wa kuvaa vizuri katika ibada. Lakini nimekusamehe bureUtkufu wa Mungu ni Individual feeling, kunawanaopenda hiyo melegezo maana wanajiona wapo sehemu ambayo ni sahihi wao kuwapo wakiona wanakwaya wamevaa kama wao.
Nani alikudanganya... Mavazi pia ni ibada nduguMungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo hata uvae bikini unaimba injili ni fresh tu
Hakika mkuu, yani injili imepoteza mvuto kabisaInjili Imekuwa biashara Kama ilivyo karanga
Mkuu kwahiyo unaweza kwenda kwenye nyumba ya ibada ukiwa umevaa bikini na ukaruhusiwa kuingia ndani na kuendelea na ibada?Mungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakoeleka itaruhusiwa na itakuwa sio ishu.Mkuu kwahiyo unaweza kwenda kwenye nyumba ya ibada ukiwa umevaa bikini na ukaruhusiwa kuingia ndani na kuendelea na ibada?
Usihukumu Kaka, hata hao waliotuletea Injili ni wavaa hovyo wakuu tena huke huke kanisani, Labda sisi kama Wa Africa turudie inada za ki Africa hapo tutaweza kuelewana. Lakini kama tutaendelea na tizi dini za Mkoloni basi utayaona Mengi sana.Nadhani nilipaswa kutoa precaution kwamba wanaopaswa kuchangia ni wale wanaojua umuhimu wa kuvaa vizuri katika ibada. Lakini nimekusamehe bure
Huo ni ukengeufuMungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app
never uovu hata uupambe vip hauwezi kuwa ukwelUtkufu wa Mungu ni Individual feeling, kunawanaopenda hiyo melegezo maana wanajiona wapo sehemu ambayo ni sahihi wao kuwapo wakiona wanakwaya wamevaa kama wao.