Muwe waangalifu na watu wa humu

Muwe waangalifu na watu wa humu

ww nani kakwambia wapenzi wanapatikana kwa mtando apo umejila wewe ukiona unashida ya kupata mpenzi rudi kwenu nyumbani au waambie wazazi au walezi au ndugu wakutafutie mpenzi i think she/he will be the best for you kama ww uwezi tafuta mpenzi
 
Tatizo la wanawake wengi wanapenda sana ndoa,lakini hawaeleweki eleweki kabisaaa,wana tabia za hovyo kweli kweli,unakuwa na mtu leo ndani ya muda mfupi ukichunguza mienendo yake kubaki naye unahitaji uwe na roho ya paka!!!

Wamejaa jeuri,amri,viburi na dharau kibao!!(japo sio wote,ila wengi wao wapo hivyo)

Wanaume wanaojielewa wanawatumia wanawake wazuri kwa starehe,wanaoa watu wa kawaida sana kwa ujenzi wa familia bora!

Acha waendelee kusuguliwa kucha na kushikwa shikwa mapaja na wasafisha miguu,kutwa kupaka mirangi ya midomo,mikucha bandia,kope za macho bandia,nywele bandia halafu nijikute kabisa eti nakuweka ndani,nina wazimu!!!!?
Huhuhu
 
Ni ulimbukeni flani hivi amazing kumwamini mtu Jf. Hata namba za simu sitoi, wala picha yoyote inatakayoweka clue kwamba mimi ni nani. Kwa upande wangu JF ni sehemu ya kuja kutoa stress, na kujifunza tu mambo mengi yanayotokea duniani.
All in All JF ni nzuri sana but handle it with care
 
Hii tunaita Mapenzi uchumi au mapenzi maslahi.

Huwa nawaambia kila siku msiwekeze mioyo yenu kwenye mapenzi.

Pole sana kwa mkasa uliokupata.
 
Sasa my dia wewe utakuta kabaya kabaya unakuja jf unakutana na mtu kama mimi siku tunakutana siwezi kukupotezea kirahisi ila tuu ntakutimizia afu ntakupiga chini maana wewe si type yangu, sikukupenda wala, sikupanga kufika nawe mbali,

All in all pole maana online dating ina matokeo hasi na chanya. Lako la kwanza
 
Asee waungwana... Iyo shoot nloiweka haiusiani kabisa na Ushimeni wala nn.

Nilitaka msome maandishi ya mtoa mada ili mjue km ni chai au lah!!.

Maana kajiunga 17/8/2018

Leo tarehe 7/10/2018... Ndan ya mwez na unusu, tayar keshafanyiwa hayo yoote?? Mpaka nakupigwa??

Daaahh basi watu wanakasi ya 4G kwa jamaa...lkn Bidada naye kazidi ushamba .
Boss putini. Saivi fogii inashika kila kona, wiki mbili tuuu unatafuna na kumtema ptuuuuu.. Akafie ukoo
 
las azadas siempre serán Azad as!
Picha ya binti anae tongozwa mtandaoni na kukubali.
images.jpg
 
Asee waungwana... Iyo shoot nloiweka haiusiani kabisa na Ushimeni wala nn.

Nilitaka msome maandishi ya mtoa mada ili mjue km ni chai au lah!!.

Maana kajiunga 17/8/2018

Leo tarehe 7/10/2018... Ndan ya mwez na unusu, tayar keshafanyiwa hayo yoote?? Mpaka nakupigwa??

Daaahh basi watu wanakasi ya 4G kwa jamaa...lkn Bidada naye kazidi ushamba .
Mkuu, ndio kwanza nauona huu uzi....
Ngoja niendelee kusoma hadi mwisho naweza nikaelewa kitu labda...[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
1538982189361.png


1538982049813.png


1538982091185.png
 
Back
Top Bottom