Ukiona hivyo jua huyo ni member nguli kabisa,ila amefungua account mpya!!!Tusiwe wasahaulifu katika kila tunachokisema.
Sasa huyo jamaa wako ulimpata lini???View attachment 890001
Na watakuja kweli wazee wafursaAu mtego wa kutafuta zile njemba za "Pole my , usijali mimi nipo ".
Pole sana wanasena ukila na kipofu usimushike mkonoHabari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Hajala
Tatizo tukisema ukweli mnatupiga vibuti....acha tuwakule tu kwa swaga za kujiundia hadi mtie adabu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Samahani lakini,wewe ni mimi au wale ?Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Tatizo la wanawake wengi wanapenda sana ndoa,lakini hawaeleweki eleweki kabisaaa,wana tabia za hovyo kweli kweli,unakuwa na mtu leo ndani ya muda mfupi ukichunguza mienendo yake kubaki naye unahitaji uwe na roho ya paka!!!Ndio mara yako ya kwanza kuachwa?
Watu wanaachwa makanisani ndo ije iwe humu JF?
Yakikuharibikia piga moyo konde, humu kuna watu wamekutana PM na wanalea familia sasa hivi!
Mambo ya injini ya Volkswagen yamo?Jamaa alimuomba tigo
Teeh povuuTatizo la wanawake wengi wanapenda sana ndoa,lakini hawaeleweki eleweki kabisaaa,wana tabia za hovyo kweli kweli,unakuwa na mtu leo ndani ya muda mfupi ukichunguza mienendo yake kubaki naye unahitaji uwe na roho ya paka!!!
Wamejaa jeuri,amri,viburi na dharau kibao!!(japo sio wote,ila wengi wao wapo hivyo)
Wanaume wanaojielewa wanawatumia wanawake wazuri kwa starehe,wanaoa watu wa kawaida sana kwa ujenzi wa familia bora!
Acha waendelee kusuguliwa kucha na kushikwa shikwa mapaja na wasafisha miguu,kutwa kupaka mirangi ya midomo,mikucha bandia,kope za macho bandia,nywele bandia halafu nijikute kabisa eti nakuweka ndani,nina wazimu!!!!?
Uponzwa na tamaa zako..!Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Inaonekana haukukatikaHabari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Tena in full,wanajishebedua shebedua,kwa kujifanya wajuaaaaaji wakati hamna kitu,watatumika sanaaaaa!ndo linapokuja swala la ndoa wataalikwa tu,lakini wao kuolewa wasahauuu!Teeh povuu