Muwe waangalifu na watu wa humu

Muwe waangalifu na watu wa humu

Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Huwa mkiambiwa ukweli mnakimbia,acha mpigwe.Jikaze si kwa ubaya.[emoji1]
 
Acha mbwembwe binti umekosa ndoa huko uraiani unakuja na kiki ya kishamba, tena inaonesha upo cheap sana...

Aiwezekani hata miezi miwili aijapita jamaa kashafanya mambo yote hayo
Unamshanga huyu miezi miwili ni mingi mtu anatongozwa saa hiyo hiyo na muda huohuo anagongwa huyu miezi miwili mbona amejitahidi?
 
Tunashukuru kwa tahadhari,umakini ni kitu cha muhimu sana hasa huu ulimwengu wenye changamoto nyingi;watu wanaweza wakakufanya wewe kuwa fursa.
 
Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo wangu na all my trust.Alikuja PM nikareply, tukapeana namba,kanicomvice nikampenda sana,nikamzoea nikamuamini.alichokuja kunifanyia.........basi tu.alinidanganya kila kitu chake e.g anapoishi,kazi,familia,life yake etc.nimekuja kishtuka nishapigwa baada ya kufuatilia alichoniambia kwa wahusika ambao wapo sehemu hizo.
Nawataadharisha ndugu zangu muingiao huku i mean wageni kama mimi...muwe waangalifu na watu wa humu.
Asanteni. nimejifunza mno.Never trust anyone in this world.
PM sijibu maana ndo iliyoniletea haya yote.sitaki ushauri,sitaki,maswali.nimewataadharisha tu wageni wasije dandia basi kwa mbele kama mimi.....watakufa.poor me.
By by wa ndugu.
Ndio mitandao hiyo ndugu.
 
Asee waungwana... Iyo shoot nloiweka haiusiani kabisa na Ushimeni wala nn.

Nilitaka msome maandishi ya mtoa mada ili mjue km ni chai au lah!!.

Maana kajiunga 17/8/2018

Leo tarehe 7/10/2018... Ndan ya mwez na unusu, tayar keshafanyiwa hayo yoote?? Mpaka nakupigwa??

Daaahh basi watu wanakasi ya 4G kwa jamaa...lkn Bidada naye kazidi ushamba .
Amna utakuta kaja na id mpya
 
Tena in full,wanajishebedua shebedua,kwa kujifanya wajuaaaaaji wakati hamna kitu,watatumika sanaaaaa!ndo linapokuja swala la ndoa wataalikwa tu,lakini wao kuolewa wasahauuu!

Watabaki vipozeo vya wanaume wanaotafuta wanawake wa kuwaoa,wakipata tu wanasepaaaa!!!
Nashukutu kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom