Muwe waangalifu na watu wa humu

Muwe waangalifu na watu wa humu

Tatizo la wanawake wengi wanapenda sana ndoa,lakini hawaeleweki eleweki kabisaaa,wana tabia za hovyo kweli kweli,unakuwa na mtu leo ndani ya muda mfupi ukichunguza mienendo yake kubaki naye unahitaji uwe na roho ya paka!!!

Wamejaa jeuri,amri,viburi na dharau kibao!!(japo sio wote,ila wengi wao wapo hivyo)

Wanaume wanaojielewa wanawatumia wanawake wazuri kwa starehe,wanaoa watu wa kawaida sana kwa ujenzi wa familia bora!

Acha waendelee kusuguliwa kucha na kushikwa shikwa mapaja na wasafisha miguu,kutwa kupaka mirangi ya midomo,mikucha bandia,kope za macho bandia,nywele bandia halafu nijikute kabisa eti nakuweka ndani,nina wazimu!!!!?
Mkuu, yaani umekosa hata huruma..tehteehh
 
Jf kuna mambo mengi sana chief, na sikuzote ukitaka kupamudu unapo fananishwa na jambo ama tukio.... nivyema kuwa mtulivu na kuendelea kuwa msomaji zaidi tena kwa umakini mkubwa....
Asante kwa kunitag kwenye tafrani hii
Daahh sawasawa Chief ,asante kwa kuelewa fastaaaaaa

Kweli Jf inamambo mengi
 
Back
Top Bottom