Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,748
Kwa kweli mapenzi sio tu kupendana pia hekima ya Mungu ,niwaambieni wakuu hakuna kitu kinachomuuma binadamu kama kumwambia mapungufu yake ,hasa katika suala zima la mapenzi,mfano rahisi sana mtu akakuambia wewe ni mbaya ,una umbo baya wengi hasa wanawake hujisikia vibaya sana .katika vitu naogopa sana kusema ni hilo hata najua kama haniridhishi kwa leo najua sio siku zote sikukuu,da nahisi atajisikia vibaya huyo mume na atawaza umepata mwingine anaekutosheleza haya sasa kibao kinakugeukia tena jamani na siunajua tunaonewagwa saa nyingine ,inaweza ikakuletea ukakosa amani na anaweza kuyakuza weeeee du kuficha aibu.kwa upande wangu mapenzi sio kitu nimekipa kipaumbele sana kwa hiyo sipendi kumpa mtu mtihani atashindwa hata kuniangalia vile,nafikiri huo ndi utakuwa uwezo wake kubaliana nao tu tumia mbinu yyte aelewe sio kumwambia live vile japo hao wanaume huwa wanatuaibisha sana anaweza sema popote mwone huyu hajui mapenzi ,