Mimi Ni Mtu Wa Mungu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2021 Posts 679 Reaction score 1,315 May 30, 2023 #41 muwa ni aina ya nyasi ni chakula kinachoongeza nguvu mwilini kwa sababu ya sukari yake naturally ninapozungumzia nguvu ni zote hata za kiume jitahidi kula muwa mara 4 kwa wiki achana na viagra Mungu alishamaliza kazi kwenye vyakula alivyotupatia
muwa ni aina ya nyasi ni chakula kinachoongeza nguvu mwilini kwa sababu ya sukari yake naturally ninapozungumzia nguvu ni zote hata za kiume jitahidi kula muwa mara 4 kwa wiki achana na viagra Mungu alishamaliza kazi kwenye vyakula alivyotupatia