Nini Tena???
Wale jamaa wanajua Sana, hasa yule main actorWee tafuta series inaitwa 24hours japo ni ya kitambo lkn kwangu ndio mama wa series zote za kijasusi.
Naikubaligi sana movie ya Charles Branson ile ya "the mechanic"Unamjua Charles Bronson? Au la tafuta za Perry Mason
Ninayo hapa.. kuiangali naona uvivu kumbe nzuri ee??FUBAR mmeshaitaja?