Muvi za upelelezi.

Muvi za upelelezi.

Upelelezi ...unalenga kujua zaidi kuhusu (utumbuzi) au mtu na matendo yake Ili kupata ushahidi.

Kama unajua muvi zinazolenga upelelezi naomba kunitajia kwenye comment.nina mda kama miezi miwili hivi za kukaa tu ndani ,napenga kutumia huo kuzicheki.

Asanteni kama mtanisaidia majina na Mungu awabariki
Derrick
 
Collection ya Mission impossible, jason bourne, sherlock holmes etc..

Series kama.. lie to me, the mentalist, 24

Movie yoyote unayoipenda ingia google andika "movies like...." unaandika hiyo unayopenda utaletewa list mpaka uchoke.
 
Mkuu umeonesha kuwa wewe ni spy. Asante Kwa kujibu ki kachero.

Muomekano wa neno ANNA...linaonekana katika lugha ya ki Russia movie ni ya ki rusi director anaitwa Luck Benson.

Enjoy jomba
Hili dude balaa.
 
Upelelezi ...unalenga kujua zaidi kuhusu (utumbuzi) au mtu na matendo yake Ili kupata ushahidi.

Kama unajua muvi zinazolenga upelelezi naomba kunitajia kwenye comment.nina mda kama miezi miwili hivi za kukaa tu ndani ,napenga kutumia huo kuzicheki.

Asanteni kama mtanisaidia majina na Mungu awabariki
safe house
Tenet (hii utarudia zaidi ya x5 kuielewa)
 
Upelelezi ...unalenga kujua zaidi kuhusu (utumbuzi) au mtu na matendo yake Ili kupata ushahidi.

Kama unajua muvi zinazolenga upelelezi naomba kunitajia kwenye comment.nina mda kama miezi miwili hivi za kukaa tu ndani ,napenga kutumia huo kuzicheki.

Asanteni kama mtanisaidia majina na Mungu awabariki
Series, CSI Miami.
 
Back
Top Bottom