Muvi za kibongo zinakera

Eti Mtu anaenda airport na nguo nyingine akishuka kwny gari kavaa nguo ingine!ha ha ha,yan cjui kwann tasnia ya film imevamiwa na mbumbumbu,wenzetu ukifatilia tu wale wanaoigiza drama series,wana degree na masters za sanaa,producers wamesoma,afu leo uniambie nimwangalie kanumba,nishndwe kucheki vitu kama The event,fringe,vampire diaries,24,lost n.k na films za ukweli za hollywood..eti nipoteze muda kumuangalia anti ezekiel,akilamba midomo.
 
mkuu nilikuwa nasafiri kwenda mbeya na mabasi yetu wakatuwekea movie ya 20%
aisee inaboa kinoma yaani,kwenye basi kulikuwa na watu wa mataifa mbalimbali yaani niliona aibu sana

Mi nashangaa movie hii inasifiwa kweli. Nadhani ni jina tu la 20% ndilo linalouza.
 
Eti Mtu anaenda airport na nguo nyingine akishuka kwny gari kavaa nguo ingine!ha ha ha,yan cjui kwann tasnia ya film imevamiwa na mbumbumbu,wenzetu ukifatilia tu wale wanaoigiza drama series,wana degree na masters za sanaa,producers wamesoma,afu leo uniambie nimwangalie kanumba,nishndwe kucheki vitu kama The event,fringe,vampire diaries,24,lost n.k na films za ukweli za hollywood..eti nipoteze muda kumuangalia anti ezekiel,akilamba midomo.

Bado sinema zetu ziko nyuma sana. Mojawapo ya vitu viinavyochangia ni wadau wenye uwezo wa kuandaa filamu nzuri kujihusisha na mambo nje ya filamu hivyo tunaoingia huko ni wale wenye uwezo wa chini.
 
Ever seen a movie called "butterfly on a wheel", then nenda kaiangalie "black sunday" ya kanumba. Then utaamini kwamba kweli wabongo hatupo creative when it comes to hawa movie producers! Ni ame COPY and PASTE kila kitu except vile vichache ambavyo technologia yetu imeshindwa!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Uhalisia kwenye hizo muvi zao zero!kila kukicha locations ni zile zile tena za maisha ya kifahari as if Tanzania nzima ni matajiri.Themes za kimapenzi tuu...
 
Nlicheka sana nlivyoangalia film ya Offside ya ray n kanumba,wamecopy scene moja ipo kwny film ya "Our family wedding"
Ever seen a movie called "butterfly on a wheel", then nenda kaiangalie "black sunday" ya kanumba. Then utaamini kwamba kweli wabongo hatupo creative when it comes to hawa movie producers! Ni ame COPY and PASTE kila kitu except vile vichache ambavyo technologia yetu imeshindwa!
<br />
<br />
 
Duh!!! our family wedding nimeiona sasa ntaicheki hiyo offside....they fail to be creative halafu eti they sit back and wonder why movie zao haziwiki internationally!
 
Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa kutoangalia tena muvi. KWANZA,hakuna uhalisia kabisa kwenye hizo muvi yan ni bora kuangalia maigizo ya kwenye tv. Mtu anaekt wakat mwingine anajisahau anaishangaa kamera,au kinasa sauti kinaonekana kabisa. Hata matukio yenyewe sanyingine ni imaginary kwa mfano et mtu anajiambia ngoja niende kwenye fridge nikachukue maji ninywe af niondoke wakat ki uhalisia m2 huwez jiambia wakat unaenda kunywa maji. PILI,TAtizo ni lack of continuity,yan hapa ndo pananikera sana. Unakuta muvi mmoja ina part1 adi 3 alafu hamna hata cha maana basi yan wanafanya makusudi ili kuwalia pesa wananchi. Yan kwa kwel ukianza kuzichambua kero ni nying sana mpaka nashndwa maliza. TATU,wanatufanya wapumbav kwakuiba script za wanaijeria na hollywood. Kuna muv unaamgalia ad umajiuliza jaman mbnna hii muvi kma muv flan? Yan wanachofanya ni kucopy na kupaste
Yani mimi hua siangalii kabisa coz nitaanza kukosoa mwanzo mwisho halafu sitaona uhondo wa hiyo movie. Yani mtu anamwambia mwenzie"Yani huyu mwanaume ni mkali kama simba" Mwenzie naye anajibu " ina maana huy mwanaume ni mkali kama simba?" hahahaha... loh! siangalii kabisa, labda bahati mbaya nikiwa safarini wakiweka na huwa sifungui macho ila nashindwa tu kuziba masikio..
 
Halafu title zao ukizisoma tayari movie imeisha. Movie title hazi shawishi kutaka kujua itakachotokea au title zingine hazina maana hata kidogo. Mfano "Bed rest" au "Fake Pregnant" (pregnancy)
 
Yani bongo ukishakuwa na "shepu" na caro lite ikishakubali basi wewe ni actor/ actress. Utumbo mtupu. Nakumbuka maigizo ya kina Waridi, Aisha, Bishanga yalikuwa very natural and realistic.Siku hizi kuuza sura tu na magari ya kifahari.
 
Kinachoniboa zaidi ni translation ya kiswahil to english. Dah! Cjui ni kukosa umakini? Ni kutoijua vema lugha ya kingereza?
Pia,kila siku mapenzi does it means hatuna mambo mengine ya kuact?
 
Nilishashindwa toka zamani
nikadhani labda siku hizi kuna nafuu,
kumbe ni zaidi ya zamani
bora nibaki nilivyo kwa kutoangalia
hizo movie kabisa.
 
Mi huwa wananiboa sana kwani kila muvi wana igiza wana maisha mazuri tu yani wao ni matajiri kila filam jamaani watulete vitu halisi vya mtanzania maisha yake na mapenzi yake.Alafu wajitahidi kuweka title za kiswahili kuna watu hatuelewi yani zinatia kinyaa
 
Mimi huwaona kama vichwa vya panzi' pia hawana mantiki(logic) kwenye mambo wanoigiza kwani utakuta TOPIC au jina la muvi halifananii kilichoigizwa ndani halafu kibaya zaidi wanaigiza kiswahili halafu cover wameliandika kwa kiingereza.
Ila mi nawapongeza kwa kutengeneza ma-cover mazuri i.
 
Halafu title zao ukizisoma tayari movie imeisha. Movie title hazi shawishi kutaka kujua itakachotokea au title zingine hazina maana hata kidogo. Mfano &quot;Bed rest&quot; au &quot;Fake Pregnant&quot; (pregnancy)
<br />
<br />
Nakumbuka sana hiyo 'Bed rest'niliiangalia na watoto...out of curiosity...hahahah nilicheka sana na kusikitika, Ray katoka safari na red shirt, red shoes na red sanduku, kakuta mtoto basi anavyojirusha rusha eti weweeeee...colin ....collin weweeeee...anarukaruka mno mpaka nikasema unakaa Canada Mwaka hupigi simu home wala hamna mashoga kidawa ambao wanakuona na mtoto jamani wamwmabie mumeo? Inakuwa soooo surreal(sp) eti Collin weweeeee....wala haulizi why tht name...when was he born ...shughuli...shughuli
 
Mi wanachonibna wanaigiza uzungu uzungu saaaana akat wanaoangalia weng we2 wa2 wauswaz ambayo ayo maisha ya utawizle mwng niwachache sn jamii iliyopo kubwa aipat mesej ya ukwel!
 
Mkuu umenena vema walio wengi wamelaumu baada ya kushauri kumi uanza na moja,ndio maana unakosoa cos kipo kama zisingekuwepo usingekosoa,waliopiga hatua nao walianza kama sisi,ubora wa kitu huchangia na vitu vingi bado tecknolojia kibongobongo ipo chini sana ukilinganisha na wenzetu,let suport them mm naamini kusingekuwepo na bongo movies kina ray na kanumba wangekuwa vibaka tu.bongo movies imesaidia kwa kiasi kikubwa sana kuwa chanzo cha ajira nchini,washauriwe naamini watafanyia kazi mapungufu yao
 
tukitaka kulazimisha vitu viwe kama tunavyotaka basi si movie tu bali kila kitu bongo siyo,kuanzia elimu,siasa na uchumi vyote miyeyu!...kwa maono yangu wanajitahidi tena sana!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom