Muvi za kibongo zinakera

Muvi za kibongo zinakera

Na waelekezwe wasivae vile viguo vya kijinga vya kuonyesha matiti nje na visivyo na mpango wo wote. Hata hao wazungu siyo kwenye kila movie wanavaa hivyo.

Kama walivyoongea wadau wangejaribu kufocus kwenye michezo kama ya akina Mzee Small ambayo inayo uhalisia wa maisha yetu kuliko kujidai uzungu na unigeria wasiouweza.
 
Movie industry kwa bongo bado sana. Waigizaji hawaichukulii kama kazi, wanauzia sura. Elimu zao ndogo, matukio hayana uhalisia. Zinapotosha watoto wetu. Kwangu nimezpga marufuku sitaki kuziona.
 
Sasa hao akina Ray na Anti nani sijui, si wanasema nchi kama Burundi, Congo na Rwanda wanapokelewa kifalme kwa sababu ya uzuri wa filamu zao.
Hivi kama haya maigizo ya akina Jb twayaona vituko, vipi hizo filamu za Burundi, Congo na Rwanda, si ndo balaa!
 
Back
Top Bottom