Muvi hii yaitwaje?

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
habari zenu wanajamvi..naombeni mnisaidie...nilitazama muvi hii zamani kidogo (kama miaka 3hivi iliyopita sijui) na sasa nimeitafuta tena hii muvi bila mafanikio tatizo kubwa ni kukumbuka hata lile jina lenyewe...ingawa nahisi jina lina kitu kama adrenalinetrain hivi (nimejaribu sana ku search google kwa kutumia keywords mbalimbali za jina hilo bila mafanikio)
Muvi yenyewe ipo hivi: kuna kifaa kilianguka kutoka kwenye satellite huko juu sasa kuna watu walikiokota (sikumbuki kama walikifungua au lah) ila kuna ugonjwa flani uliibuka kutokana na kifaa hicho ambao ulileta balaa sana kwa wanasayansi kwani hawakujua tiba yake na kila walivyokuwa wakijaribu ule uginjwa ni kama ulikuwa unajua na kujibadilisha kutoka form moja kwenda ingine...kuna kipindi walituma ndege ya kivita kwenda kupiga bomu la nyuklia lakini kabla hata ndege haijafika ule ugonjwa uliishambulia ile ndege ikiwa angani kwa kama kuiyeyusha hivi (rubani wake alikuwa msichana)...pliiz kama kuna mtu anaifahamu au anahisi ndiyo hiyo anisaidie...naitafuta sana!
 

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
6,710
12,414
Nimeshawahi kuiona ingawa pia sikumbuki jina,
ngoja nitajaribu kuperuzi nikilipata nitaliweka humu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom